HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.


 

Rihanna: LOUD Album Cover Revealed! 



Wasanii wawili wenye majina makubwa zaidi duniani Nicki Minaj pamoja na  Rihanna wana ugomvi ambao chanzo cha ugomvi huo.
Hit maker wa single ya  ‘Pills N Potions‘ amesema amechukizwa na kitendo cha msanii mwenzake Rihana kuharibu urafiki wake kati ya yeye na na msanii Drake
 

Baada ya Drake kuachana na Drake,msani drake hasikiki kabisa,inasemekana Nick minaji anaweza kumwita Rihanna na wazungumze juu ya swala hili alilomfanyia rafiki yake Drake,Siku moja kwenye vyombo vya habari vya marekani Nick alikariria akisema  
‘One day, I will run away with Drake and get married, but right now it’s just a fantasy.’ 

Drake pamoja na Rihhana waliacha mwezi mmoja uliopita baada ya kutokea ugomvi baina yao na kufanya kusambaratika kwa uhusiano wao

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA