Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2015

BREAKING NEWZZZ......Kongwa: Naibu Spika, Job Ndugai adaiwa kumpiga mgombea mwenzake, ambaye kazimia na kukimbizwa hospitali

Picha
Hatimaye Mheshimiwa Ndugai amechimbia kaburi la kisiasa baada ya kumshambulia Mgombea mwenzake aitwae Dr Joseph Elieza Chilongani kwa gongo katika mkutano wa kuomba kupigiwa kura za maoni CCM Hayo yametokea jana mnamo saa saa 10 jioni katika kitongoji cha ugogoni mjini Kongwa. Katika kile kinachoonekana ni kuishiwa sera na kutumia ubabe na ukorofi ili kutetea nafasi yake ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, Mheshimiwa Naibu Spika wa Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa alipiga kwa gongo ambalo amekuwa akitembea nalo huku wasimamizi wa uchaguzi wakifumbua macho kitendo cha mgombea kutembea na silaha hiyo kwenye kampeni. Inadaiwa na mtu aliyefuatilia kwa karibu tukio hilo mkutanoni kuwa Kuna mgombea mmojawapo (mkazi wa Kongwa aitwaye ngatunga) Alisimama kuuza sera zake na kudai kuwa Kongwa kuna madini jimbo halijafaidika na chochote kutoka kwa wachimbaji wa madini... Mara moja Ndugai alimtishia kuwa anyamaze la sivyo angemuone

BREAKING NEWZZZZ.............BAADA YA LOWASA KUHAMA CCM...DR,NCHIMBI AANDIKA HUU UJUMBE KUHUSU MSIMAMO WAKE USIKU HUU

Picha

Kumekucha sasa... Baada ya Lowassa kujiunga na UKAWA kupitia Chadema.... Hii ndio Taarifa waliyotoa CCM hivi punde kupitia Ukurasa wao wa Facebook

Picha
Share kwa marafiki:

BREAKING NEWZZZ...............HUU NDO UJUMBE MZITO MPYA ALIO ANDIKA LOWASA SASAHIVI BAADA YA KUHAMIA CHADEMA LEO HII

Picha
Baada ya yaliyotokea Dodoma wakati wa mchakato wa kuteua mgombea Urais wa CCM, nimechukua muda kutafakari kwa kina, mustakabali wangu ndani ya Chama na Taifa kiujumla. Watu wengi wananiounga mkono wamekuwa wakisubiri nifanye maamuzi magumu, na baada ya mashauriano marefu nimeamua kuondoka CCM kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi, UKAWA, kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Nimejaribu kueleza kwa kifupi sababu za kufikia maamuzi hayo, nazo ni kuwa mchakato w a kuteua mgombea wa Urais wa CCM Dodoma ulikumbwa na mizengwe na zaidi ulifanywa kwa upendeleo na chuki iliokithiri dhidi yangu. Nimesema tena kuwa CCM niliyoiona Dodoma, sio CCM iliyonilea na kunikuza ambayo ilijengwa kwa misingi ya haki, usawa na uadilifu, na nitakuwa mnafiki kama nitaendelea kudanganya nafsi yangu na watanzania kuwa nina imani na CCM kuwa chama kitakachowaletea ukombozi wa kiuchumi na kisiasa. Wakati ninazunguka kuomba udhamini, nilieleza nia yangu kuwa ni kushir

Lowassa: CCM sio baba yangu wala mama yangu…Hotuba yote ya Lowassa iko hapa SIKILIZA YOTE HAPA NA DOWNLOAD

Picha
 Baada ya jina lake kukatwa katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni huko mjini Dodoma, Leo UKAWA wamempokea Rasmi Lowassa katika chama cha CHADEMA na amechukua kadi ya chama cha CHADEMA leo hii akiwa yeye na mke wake. Katika hotuba yake Lowassa ameongea mambo mengi sana, Lowassa kasema kuwa CCM sio baba yake wala mama yake hivyo haoni sababu ya kukihama chama hicho, Isikilize hotuba yake yote hapa chini  http://www.hulkshare.com/thechoicetanzania/hotuba-nzima-ya-lowassa-akikaribishwa-ukawa-the-choice

LULU AZUIWA KUMSHIKA MKONO MAMA SALMA KIKWETE

Picha
  Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete (Picha na Mtandao). Ilikuwaje? Taarifa ikufikie kuwa, staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael `Lulu’ aliibua minong’ono kwenye msiba wa mwanamuziki Ramadhan Masanja `Banza Stone’ baada ya kutaka kumsalimia kwa kumshika mkono mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma. Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael `Lulu’. Chanzo chetu kilichoshuhudia tukio hilo lililojiri hivi karibuni kilisema kuwa Lulu aliingia nyumbani kwa wazazi wa Banza, Sinza-Lion, Dar ili kuwasalimu wafiwa lakini baada ya kumuona Mama Salma Kikwete alijisogeza jirani kwa lengo la kutaka kumsabahi lakini walinzi wake walimzuia kwa kuwa ni kinyume na utaratibu. Baada ya kubwagiwa ‘ubuyu’ huo, Ijumaa Wikienda lilimvutia waya Lulu ambapo awali alidai hakumuona msibani hapo, lakini baadaye alikiri kumuona ila hakupata fursa ya ku

TUNDU LISSU AFUNGUKA UKWELI WOTE KUHUSU EDWARD LOWASSA.

Picha

BREAKING NEWS : LOWASA AJIUNGA CHADEMA RASMI, PICHA NA VIDEO ZA KILICHOONGELEWA LEO NMEKUWEKEA

Picha
Lwassa akihudhuria kikao Kamati kuu CHADEMA Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa, akisalimiana na viongozi na wanachama wa CHADEMA  BOFYA HAPA KUSOMA TAARIFA YOTE 

LOWASSA INATOSHA: MBOWE LIPUMBA MBATIA WAMPA MOTO.KIMENUKA

Picha
Wakati Joto la Mbio la Urais Tanzania Linaendelea , Wakuu wa Vyama vya Upinzani Wanao unda kundi la Ukawa Wamemwambia Lowassa Huko alipo sasa inatosha amedhihakiwa vya kutosha na Kwamba wanamkaribisha Ukawa kwa mikono miwili kama walivyofanya wengine wakiwemo Mh Limbeli na Mh Ester Bulaya pamoja na Wale Madiwani wa Monduli....  BOFYA KUSOMA YOTE

NAPE AMRUSHIA KOMBORA LOWASSA , ASEMA CCM IMEWEZA KUYAZUIA MAFURIKO KWA MIKONO

Picha
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejigamba kwamba kimeweza kuzuia ‘mafuriko’ kwa mikono huku kikiwatakia kila la kheri baadhi ya makada wake waliotangaza kutogombea kupitia chama hicho pamoja na wale waliokihama na wanaotaka kukihama.Mwishoni mwa wiki iliyopita waliokuwa madiwani jimbo la Monduli kupitia CCM mkoani Arusha, walitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), huku wabunge wa viti maalum, Ester Bulaya na James Lembeli aliyekuwa Mbunge wa Kahama wakitangaza kutogombea kupitia chama hicho Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akizungumza na mtandao huu jana alisema CCM hakina uwezo wa kuzuia mtu anayetaka kukihama kwa sababu hiyo ndiyo demokrasia.   BOFYA KUSOMA YOTE

HIZI NDO PICHA ZA MAJAMBAZI WALIO FANYA TUKIO LA MAUAJI YA POLISI NA RAIA KITUO CHA STAKISHARI DAR ES SALAAM

Picha
Hii  ni story nyingine kutoka kwenye ile ishu ya kuvamiwa kwa kituo cha polisi cha stakishari Jijini Dar es salaam ambapo askari wane na wananchi waliuawa na wale waliotambulika kama majambazi na kupora silaha kadhaa na kutoweka nazo. Leo kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam alijitokeza mbele ya wanahabari na kuja na mafanikio ya msako mkali unaoendeshwa na jeshi la polisi ambapo hadi sasa majambazio watano wamekamatwa huku watatu kati yao wakiwa wameuawa na jeshi la polisi,huku silaha zilizoibiwa kukutwa katika maeneo ya mkuranga zikiwa zimefukiwa chini tayari kwa ualifu. Sasa pamoja na mafanikio hayo polisi wanasema kuwa bado kuna majambazi waliohusika na lile tukio hawajakamatwa na kuna silaha nyingine bado hazijakamatwa,bahati nzuri jeshi la polisi limefanikiwa kukamata majina na picha za hao ambao bado hawajakamatwa. Majina yako hapa kama picha juu zinavyoonyeshwa na kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam MAJINA YA MOST WANTED

BREAKING NEWS!! BERNARD MEMBE AJIUZULU SIASA NCHINI TANZANIA, NI BAADA YA KUONDOLEWA KUGOMBEA URAISI

Picha
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe, amesema hatogombea wadhifa wowote kwenye uchaguzi mkuu ujao nchini humo na kwamba anapanga kujishughulisha na masuala yake ya kibinafsi. Membe ambaye alikuwa akitafuta tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania urais mwezi Oktoba lakini akashindwa kufikia lengo hilo, amesema kuwa, hatotafuta nafasi ya ubunge katika jimbo lake la Mtama. Hata hivyo amesema ataendelea kukiunga mkono chama chake cha CCM na atampigia debe mgombea urais aliyeteuliwa na chama hicho, Bw. John Magufuli. Awali kulikuwa na tetesi kwamba Membe angegombea ubunge baada ya kukosa nafasi ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Huku hayo yakijiri, chama tawala nchini Tanzania kinaendelea kupata pigo baada ya baadhi ya wabunge wake kutangaza kuwa hawatogombea tena nafasi zao kupitia chama hicho kwenye uchaguzi mkuu ujao.  Mbunge wa Kahama, James Lembeli ni mwanachama wa CCM wa hivi karibuni kutangaza kuwa hatatetea kiti chake

WAZEE WA KIMILA WAMWANGUKIA LOWASSA, SOMA HAPA WALICHOSEMA

Picha
Wazee wa kimila wa jamii ya wafugaji wa Kimaasai (Malaigwanan) kutoka Wilaya ya Monduli wamemuomba waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kubaki na kuendelea kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa sababu ndicho kilichomlea na anakijua. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Monduli kwa niaba ya Malaigwanan, Mzee Joseph Mesopiro kutoka Kata ya Sepeko wilayani humo alisema viongozi wa mila wanakusudia kutuma ujumbe maalumu kwa Lowassa kumshauri asihame CCM kama baadhi ya watu aliowaita wapambe wanavyomshauri. “Sote Monduli tumesononeka kwa jinsi vikao vya chama vilivyomtendea mbunge wetu. Bado tunampenda kama ambavyo tunakipenda chama chetu. Tunaamini ataendelea kubaki CCM na kupigania ushindi wa chama katika uchaguzi ujao,” alisema Mzee Mesopiro   BOFYA HAPA KUSOMA YOTE

LOWASSA AWATIBUA WAANDISHI WA HABARI

Picha
Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo hii Edward Lowassa amewakera waandishi wa habari baada ya kuwaita nyumbani kwake Masaki. Taarifa iliyotumwa kwa wahariri leo asubuhi ilikuwa inasema:  Habari za asubuhi wahariri,  Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa ana Press Conference  leo Saa 5:00 nyumbani kwake Masaki.  Mnaombwa kutuma waandishi wa habari na kwa wale wenye fursa kufika. Good morning.  Lakini baada ya waandishi kufika nyumbani kwake wakakutana na tangazo kuwa kuwa ameahirisha kuzungumza na waandishi hadi hapo itakapo tangazwa tena. Kitendo hicho kimewakera sana waandishi wa habari.

PICHA 66 ZA MKUTANO MKUU WA CCM

Picha
BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA ZAIDI 

KIKAO CHA KAMATI KUU; 5 BORA NA 3 BORA, MHE. NCHIMBI, ADAMU KIMBISA NA SOPHIA SIMBA MMH! SOMA HAPA.

Picha
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye akiongea na waaandishi wa habari mara baada ya kutoka kikao cha Kamati kuu. Akisistiza jambo... Mhe. Emmanuel Nchimbi akitangaza mbele ya wanahabari kutangaza kutoridhishwa na maamuzi yao. Mama Sophia Simba akizongwa na wanahabari  juu ya Kamati Kuu. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA.  ---- Hali si hali ndani ya Makao Makuu baada ya wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu uliomalizika usiku huu kushindwa kufikia maamuzi ya 5 bora na baadae 3 bora. Kutoelewana huko kumetokana na wajumbe wakati wa Kamati Kuu ilichokuwa ikiendeshwa na Mwenyetiki wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete kushindwa kuazimia maamuzi yaliyokuwa yameletwa. Kwa mujibu wa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho  Nape, alisema kila kitu kitajulikana asubuhi ya Julai 12, 2015 huku wajumbe wwatau wa Kamati hiyo, Mhe. Nchimbi, Adamu Kimbisa na Sophia Simba kukataa maamuzi hao. Mhe. Nchimbi akiongea na waandishi alis

EDWARD LOWASSA AKWATWA! HALI NI NGUMU KWA WALIOKATWA. SOMA HAPA.

Picha
“Anakatwa, hakatwi” ndilo swali lililokuwa linaulizwa nchi nzima jana, lakini hatimaye Kamati Kuu ya CCM iliyokutana hadi usiku wa manane iliibuka na jibu kwamba Edward Lowassa amekatwa, huku kukiwa na wingu zito baada ya wajumbe watatu kupingana na uamuzi huo. Muda mfupi baada ya kikao hicho, pamoja na kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alikataa kutaja majina yaliyopitishwa, akaunti ya Twitter ya CCM, iliwataja waliopitishwa kuwa ni Bernard Membe, Dk John Magufuli, Dk Asha Rose Migiro, January Makamba na Amina Salum Ali na kuwatupa wengine 33 akiwamo Lowassa. “Kikao cha Kamati Kuu kimeisha salama. Kesho (leo) Halmashauri Kuu itakutana kuanzia saa 4:00 asubuhi,” alisema Nape baada ya kikao hicho. Alipotakiwa kutaja majina ya makada watano waliopitishwa, Nape alisema: “Nimeambiwa mchakato bado unaendelea na kesho (leo) Halmashauri Kuu itakutana kuendelea na kazi. Kwa hiyo nawakaribisha kesho kuan

BREAKING NEWS: CCM YATANGAZA WAGOMBEA WATANO WA URAIS

Picha
Kikao cha KAMATI KUU (CC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 5 ambao ni: 1) Bernard Membe 2) John Magufuli 3) Asha Rose Migiro 4) January Makamba 5) Amina S. Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kukabidhiwa kwa HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) ili kupata majina matatu (3) yatakayopigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu asubuhi   BONYEZA HAPA KUONA VIDEO NCHIMBI AKIFUNGUKA KUHUSU KUTOKUBALIANA NA KAMATI KUU

HAYA SASA, KIZUNGUMKUTI CCM; JK AWATAKA WAGOMBEA WASINUNE.

Picha
  Na Waandishi Wetu, Mwananchi Posted  Ijumaa,Julai10  2015  saa 9:54 AM Kwa ufupi Kikao cha Maadili, Kamati Kuu giza nene, JK awataka wagombea  wasinune, Lowassa afunika shukrani za Raisi in Share Dodoma/Dar. Rais Jakaya Kikwete amesema idadi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kuwania urais ni kubwa, hivyo ni lazima wawape viongozi muda wa kuwachuja lakini akawataka wasiwanunie baada ya kufanya uamuzi. Rais Kikwete alisema hayo jana katika hotuba yake ya kuvunja Bunge ambayo iliibua waziwazi ushabiki kwa wagombea, hasa baada ya kumtaja aliyekuwa waziri mkuu wake wa kwanza, Edward Lowassa kwa ajili ya kumshukuru. Akitoa salamu zake kwa wagombea hao, Rais Kikwete aliwapongeza na kuwatakia mafanikio mema katika safari yao. “Wale wanaogombea urais waliomo humu (bungeni) nawatakia kila la kheri na nawashukuru kwa kuonyesha nia ya kunipokea mzigo huu mzito. Nawatakiwa heri katika matamanio yenu,” alise

KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM CHAANJA JIONI HII MJINI DODOMA KUSAKA TANO BORA YA WAGOMBEA

Picha
  0 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Mzee Phillip Mangula (kulia) pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, DODOMA.   BONYEZA HAPA KUONA PICHA KILA KINACHOENDELEA MUDA HUU 

DODOMA KIMENUKA ONA SASA YALIYOKWISHAJIRI HOSPITALI ZATAYARISHWA KUHUDUMIA MAJERUHI WA MATOKEO

Picha
MAJINA MATANO NGOMA NZITO: Mizengwe yatawala hadi usiku wa manane Kamati Kuu kufyeka waliodaiwa kuanza kampeni mapema. Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imejikuta ikiwa katika kibarua kizito cha kuteua watia nia watano kati ya 38 wa nafasi ya urais mjini Dodoma jana usiku baada ya kuwapo kwa msuguano mkali juu ya watu wa kuwaondoa kwa tuhuma za kuanza kampeni mapema. Taarifa kutoka chanzo kimoja cha uhakika ndani ya CCM kilieleza kwamba kulikuwa na mizengwe ya kuwapo kwa barua kutoka kwa vigogo wenye ushawishi mkubwa ndani ya chama hicho kushinikiza kuondolewa kwa baadhi ya wagombea kwa madai kuwa walianza kampeni mapema na hivyo kuhatarisha hatma ya ushiriki wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Hali hiyo inaelezwa kwamba ndiyo kigezo ambacho wajumbe wa Kamati Kuu waliokutana kwenye ofisi moja nyeti mjini Dodoma waliendelea kuishikilia kwa lengo la kuwaondoa wagombea wenye dosari hizo. Kwa mujibu wa chanzo hicho

WEMA ASHTAKIWA KWA KOVA

Picha
Waandishi wetu KIMENUKA! Mtangazaji na MC (master of ceremony) maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ameivalia njuga tabia ya mastaa kuhusika na matusi ya mtandaoni na kupiga picha za utupu ambapo kwa kuanza amemshitaki mwanadada Wema Isaac Sepetu kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akimtuhumu kuwa kati yao. Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu. Akizungumza na Ijumaa katika mahojiano maalum huku akirekodiwa ili kuweka kumbukumbu vizuri, Mai alisema yeye ni mmoja wa wahanga wa matusi ya mtandaoni… Waandishi wetu KIMENUKA! Mtangazaji na MC (master of ceremony) maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ameivalia njuga tabia ya mastaa kuhusika na matusi ya mtandaoni na kupiga picha za utupu ambapo kwa kuanza amemshitaki mwanadada Wema Isaac Sepetu kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akimtuhumu kuwa kati yao. Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu. Akizungumza

SOMA HOTUBA YA RAIS KIKWETE WAKATI WA KUVUNJA BUNGE LA 10 MKOANI DODOMA LEO

Picha
HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUVUNJA BUNGE LA KUMI NA KUAGANA NA WABUNGE, UKUMBI WA BUNGE, DODOMA 9 JULAI, 2015 Mheshimiwa Spika; Tunayo kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma kwa kutujalia uzima na kutuwezesha kuishuhudia siku hii adhimu katika historia ya Bunge letu na nchi yetu. Hatimaye siku ya kulivunja Bunge la Kumi imewadia ili kuwezesha hatua husika za mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ziweze kutekelezwa. Nakushukuru sana Mheshimiwa Spika kwa kunipatia nafasi hii ya kulihutubia Bunge lako tukufu ili niweze kutimiza wajibu wangu huo wa msingi Kikatiba. Lakini, shukrani zangu kubwa ni kwa uongozi wako mahiri na shupavu. Umeliongoza Bunge vizuri. Najua haikuwa kazi rahisi. Penye wengi pana mengi. Lakini kwa uhodari mkubwa umeweza kulifikisha jahazi bandarini salama salmini. Hakika wewe ni nahodha…