LOWASSA AWATIBUA WAANDISHI WA HABARI


Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo hii Edward Lowassa amewakera waandishi wa habari baada ya kuwaita nyumbani kwake Masaki.
Taarifa iliyotumwa kwa wahariri leo asubuhi ilikuwa inasema: 
Habari za asubuhi wahariri, Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa ana Press Conference

 leo Saa 5:00 nyumbani kwake Masaki. 

Mnaombwa kutuma waandishi wa habari na kwa wale wenye fursa kufika. Good morning. 

Lakini baada ya waandishi kufika nyumbani kwake wakakutana na tangazo kuwa kuwa ameahirisha kuzungumza na waandishi hadi hapo itakapo tangazwa tena.
Kitendo hicho kimewakera sana waandishi wa habari.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.