WENGER ATHIBITISHA MAN UNITED KUITAKA SAINI YA THOMAS VERMAELEN ILI KUIPIGA CHINI BARCELONA
Yupo njiani? Beki wa Arsenal, Thomas Vermaelen anaweza kujiunga na Barcelona.
WAWAKILISHI wa Barcelona wapo mjini Londo kufanya mazungumzao ya kujaribu kumsajili Thomas Vermaelen kutoka Asernal ingawa wanakabiliana na Manchester United wanaohitaji saini ya beki huyo.
Beki huyo mwenye miaka 28 amekuwa akihusishwa kuwindwa na klabu za Katalunya na United majira haya ya kiangazi, na Aserne Wenger ameshatibitisha kuwepo kwa dili hizo.Barcelona imemtuma mkurugenzi Raul Senlleh mjini London ili kufanya mazungumzo na Asernal
Vermaelen hakufanya mazoezi na Asernal siku ya jumanne kutokana na kusumbuliwa na majeruhi ya nyama za paja.
Maoni
Chapisha Maoni