NI SHIDAAA: JIONEE PICHA CITY TRAIN LIKIKATIZA MITAA YA KARIAKOO LEO!
City Train likikatiza katika 'round about' ya Shule ya Uhuru, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
KAMERA za mtandao huu leo zimelinasa basi lefu maarufu kwa jina la City Train likikatiza mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam katika safari zake za kusafirisha abiria.
Maoni
Chapisha Maoni