Makalio ya Aunty Lulu Yasababisha Ajali
Msanii
wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa
kali ya mwaka alipotoa kauli kwamba kutokana na makalio yake makubwa,
anapokuwa anatembea barabarani husababisha ajali kwani baadhi ya
madereva wakware hukosa umakini kwa kumkodolea macho.
Akizungumzia makalio yake na matiti anayodaiwa kuyabusti kwa dawa za Kichina, Aunty Lulu alisema:
“Unajua umbile langu linawachengua sana baadhi ya wanaume, achilia
mbali hilo la kusumbuliwa, wapo baadhi ya madereva ninapokatiza
barabarani hunikodolea macho na kushindwa kuwa makini.
“Matokeo yake baadhi hugonga
magari mengine na wengine hujikuta wakipeleka magari yao pembeni bila
kujijua na kupata ajali, uroho wao unawaponza.”
Tupe maoni yako hapo Chini..!!
Maoni
Chapisha Maoni