BREAKING NEWS! MASKINI DADA HUYU WA SAINT AUGUSTINE MWANZA APATA AJARI NA KUFA PAPO HAPO!
Baada ya Dada huyu kutoka chuoni akiwa anaelekea kwa Mchepuko wake, gari ilipata ajari mbaya sana kama unavyoiona na kufariki hapo hapo siku ya jana Ijumaa ya August 29, 2014.
Maoni
Chapisha Maoni