Mugabe mwenyekiti mpya wa SADC
Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC, uliomalizika nchini Zimbabwe, umemchagua Rais Robert Mugabe, kuwa mwenyekiti mpya wa jumuiya hiyo akichukua nafasi ya Rais Peter Mutharika wa Malawi.
Mwandishi wa DW Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa katika eneo la Kusini mwa Afrika, Profesa Mwesiga Baregu akiwa jijini Dar es Salaam, mtaalamu huyo aliwahi kuishi Zimbabwe kwa miaka kadhaa na kwanza amemuuliza anauzungumziaje uchaguzi wa Rais Mugabe. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza kitufe cha kusikilizia masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohammed Khelef
Mhariri: Mohammed Khelef
Maoni
Chapisha Maoni