Mrisho Mpoto Anusurika Kuibiwa Mamilion ya Fedha na Majambazi alizokuwa anaenda Kununua Nyumba


Msanii wa Mashairi na Mwimbaji Mrisho Mpoto mchana Huu Amenusurika Kuibiwa Mimilion ya Hela alizokuwa akienda kununua nyumba huko kigambani... Mchezo mzima ulianzia Mbagala alipoenda kutoa hela Kwenye Bank Fulani ili aende kununua Nyumba alipomaliza kuchukua hela alipanda gari yake akiwa Njiani gari moja lilikuwa likimfuata nyumba na jingine lilikuwa mbele yake na lilikuwa likimzuia asipite, kiufupi alikuwa amewekwa 'mtu kati' Wakisubiri wafike sehemu nzuri wamfanyizie. kwa Bahati nzuri mchezo huo wa majambazi ulishtukiwa na Bank na Kumpigia simu Mpoto kumtaarifu kuwa aelekee kituo cha polisi cha karibu , ambapo pia polisi walimpigia simu na kuja kumsaidia ndio jamaa (Majambazi) waliposhtukia na kutokomea kusiko julikana......

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA