Diamond atumia wimbo wa Taarab kuwakejeli wanaotaka aachane na Wema
Diamond Platinumz amepost kwenye Instagram kipande cha wimbo wa
Taarab kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na mpenzi wake Wema Sepetu
watengane.
Katika kipande hicho cha video, ameunganisha picha mbalimbali akiwa amepoz na Wema kuonesha jinsi ambavyo penzi lao liko Imara. "Umewaona....?????
Katika kipande hicho cha video, ameunganisha picha mbalimbali akiwa amepoz na Wema kuonesha jinsi ambavyo penzi lao liko Imara. "Umewaona....?????
Maoni
Chapisha Maoni