WAPIGA PUNYETO JIANDAE KWA HAYA MADHARA


MADHARA YA KUJICHUA (PUNYETO)

Kujichua (kupiga punyeto) ni tatizo linalowasumbua si tu wanaume bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukiri kuwa wakizidiwa huwa wanajichua.Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka apige moja au asubuhi unajisikia mzito kuamka mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja.
Madhara ya kupiga punyeto ni kama ifuatavyo:-

1.KUPUNGUA KWA HAMU YA KUFANYA MAPENZI.

Athari kubwa ya kupiga punyeto ni kuwa hupunguza kwa kiasi kikubwa hisia za mapenzi za mwanaume na kumfanya awe
mtumwa sawa na mtumiaji wa pombe au madawa ya kulevya.

2.HUATHIRI MFUMO MZIMA WA KUFANYA MAPENZI NA KUMFANYA APIZ HARAKA.

Hii inatokana na ukweli kuwa mwili wako unakuwa umeuzoeza kutoa mbegu haraka kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna kitu wanawake wanachukia kama kupiz mapema hivyo ukiwa muhattirika wa tatizo hili ni kuwa ndani ya dakika 2 tu unakuwa umepiz.

3.HUMFANYA MWANAUME ASHINDWE KURUDIA ROUND YA PILI NA KUENDELEA.

Hakuna mwanaume anayeweza kujichua kwa round 3 mfululizo hapo hapo, kwa kuwa mwili unakuwa umeuzoeza kupiga round moja tu,tena fasta,ndivyo itakavyo kuwa hata ukiwa na mpenzi wako.Amini usiamini,ukweli ni kwamba hutaweza kurudia round vinginevyo upewe masaa kadhaa ya kupumzika.

5.HUKUFANYA KUWA MTUMWA WA KUJICHUA.

Athari nyingine ni kuwa humfanya mtu awe mtumwa kama alizoea kupiga punyeto wakati wa kulala,au asubuhi au mchana ni lazima afanye hivyo kila siku,Haijalishi yuko wapi.Hata angekuwa na wenzake ni lazima atakimbilia hata chooni ili mradi afanye hivyo.

5.HUMFANYA MWANAUME ASHINDWE KABISA KUTOA BAO.

Hii utokea kwa mwanaume aliyezoea kupiga puri kwa miaka mingi.Nafikiri mtakubaliana nami kuwa vidole ni tofauti kabisa na njia ya uzazi ya mwanamke Kwanza ni vigumu na pia havina majimaji.Hali hii humfanya mwanaume ashindwea kupiz au kusimamisha,na hilo ni tatizo,sasa inatokeaukafanya mapenzi live,mwili hushindwa kuendana na màbadiliko hayo.
*Kama ni muathirika wa tatizo hili jaribu kufanya yafuatayo ili kuacha:-

1Epuka kukaa peke yako ili kujiepusha na tamaa ya kujichua bila sababu.

2.Jiepushe kukaa karibu na vitu vitakavyokupa tamaa ya kujichua mfano.picha za ngono nk.

3.Tafuta kitu cha kufanya kitakachokuchangamsha mfano kucheza mpira nk

4.Fanya mazoezi mara kwa mara kwa kuwa yanasaidia kuondoa mawazo ya ngono na kujichua.
5.Jitahidi kupunguza idadi ya kujichua kwa siku kidogo kidogo mpaka uache kabisa

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA