MANGE: Wema Sepetu Badilika, Diamond Yamemfika Shingoni mpaka Anafunguka
Mange kimambi ambaye ndiye aliyemuibua Wema Sepetu kwa kumshawishi kushiriki Miss Dar Indian Occean 2006 na hatimaye Wema Sepetu kushinda Miss Tanzania 2006 amefunguka kwa kusema kuwa hawezi kumtetea Wema baada ya Diamond kufunguka kuwa Wema anapenda starehe na ana mashoga wapenda anasa badala ya kujikita kufaya kazi kujiletea amendeleo.
Mange amesema kuwa anakubaliana na alichokisema Diamond. Mange ambaye yupo karibu na Wema ameandika .
“Mnajua siku zote mimi huwa nakuwa upande wa Wema kwenye issue zake na DIAMOND, Ila leo kwa mara ya kwanza nipo upande wa Shemeji.
“Wengi wanalaumu kwanini Diamond aweke hiki kitu hadharani ni kama anamdhalilisha Wema. Jamani nimesoma alichoandika huyu kaka what I can say is he really and truely loves Wema ila Wema mwenyewe anaharibu.
“Yani you can see kabisa he wants the best for his woman ila woman mwenyewe doesn’t want the best for herself.
“Alichosema Diamond ni kwamba yeye kama mwanaume anaweza kumsuport mwanamke wake financially ila kama mwanamke mwenyewe hajisukumi yeye afanyeje sasa?
“Na ameingia deep zaidi kaongelea issue ya mashoga, aisee ! ukiona mpaka mwanaume ameongea hivi tena in public ujue yamemfika shingoni kaona aongee tu.
“Tena you know what this might eventually wake up Wema, ataona duh jamaa kaniambia in private sijaelewa mpaka kaona aongee hadharani bora nibadilike…..Yaani you can see the guy loves Wema soooo much ila kuna vitu vinamboa sanaaaaa na anatamani ambadilishe kidogo.
“The guy mpaka kasema amempa na mtaji wa kufanyia, which is true maana Wema mwenyewe alisema kuwa ile movie(Family) aliyoifanya na Aunty juzi juzi Diamond ndie alitoa mtaji. Hivi nini kingine kaka wa watu afanye muone anampenda demu?
“Mimi pia huwa mnanilaumua sana humu simwambii Wema hivi na vile, sijui nini. Ni hivi I respect Wema’s privacy so siwezi kuongea hapa nachoongea nae on a daily basis ili kujitetea kuwa jamani namwambiagaaaaa. Just know , I do talk to her and advice her more than you think.”
Tupe maoni yako hapo Chini..!!
Maoni
Chapisha Maoni