JEURI YA PESA......TAZAMA JUMBA WALILONUNUA KANYE NA KIM
Rapper Kanye West Na Mke Wake Kim wamenunua nyumba iliyopo kwenye heka tatu na nusu huko Hidden Hills, Calabasas karibu na nyumba ya mama yake Kim Kris Jenner. Tmz wameripoti kuwa K&K wametumi dola za Kimarekani milioni 20 kununua nyumba hii ambayo awali iliyokuwa ikiuzwa dola milioni 21.
Nyumba ina mabwawa mawili ya kuogelea na majirani wameipa jina “The jewel of Hidden Hills.” Nyumba hii awali ilimilikiwa na mtoto peke wa msanii Elvis Presley anaitwa Lisa Marie Presley.
Maoni
Chapisha Maoni