SASA MOTO WA MAN UNITED NI BALAA...CHEKI WALIVYO ITANDIKA INTER MILAN BAO 5-3
Mauro Icardi #9 wa Inter Milan akiangushwa na Ander Herrera #21 wa Manchester United katika kipindi cha kwanza cha mchezo kwenye mechi za International Champions Cup 2014 mechi iliyochezewa katika uwanja wa FedEx siku ya Jumanne July 29, 2014 Landover, Maryland.nchini Marekani.
Shinji Kagawa #26 wa Manchester United akikimbia na mpira wakati timu yake ilipocheza na Inter Milan kwenye mechi za International Champions Cup 2014 mechi iliyochezewa katika uwanja wa FedEx siku ya Jumanne July 29, 2014 Landover, Maryland.nchini Marekani.na. Manchester United kuibuka mshindi wa bao, 5-3, magoli ya matuta baada ya dakika 90 kutoka
droo.
droo.
Nani #17 wa Manchester United akimlamba chenga Juan Jesus #5 wa Inter Milan
kwenye mechi za International Champions Cup 2014 mechi iliyochezewa katika uwanja wa FedEx siku ya Jumanne July 29, 2014 Landover, Maryland.nchini Marekani.na. Manchester United kuibuka mshindi wa bao, 5-3, magoli ya matuta baada ya dakika 90 kutoka droo.
kwenye mechi za International Champions Cup 2014 mechi iliyochezewa katika uwanja wa FedEx siku ya Jumanne July 29, 2014 Landover, Maryland.nchini Marekani.na. Manchester United kuibuka mshindi wa bao, 5-3, magoli ya matuta baada ya dakika 90 kutoka droo.
Darren Fletcher #24 wa Manchester United akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kufunga penati ya ushindi kwenye mechi za International Champions Cup 2014 mechi iliyochezewa katika uwanja wa FedEx siku ya Jumanne July 29, 2014 Landover, Maryland.nchini Marekani.na. Manchester United kuibuka mshindi wa bao, 5-3, magoli ya matuta baada ya dakika 90 kutoka droo. Picha na Zimbio
Maoni
Chapisha Maoni