BREAKING NEWS: WATU ZAIDI YA 14 WAMEFARIKI PAPO HAPO LEO KATIKA AJALI YA BASI LA MORO BEST
Baadhi ya Miili ya Marehemu muda mchache baada ya kupata ajali wakiwa wanangojea kupelekwa Hospitali.
Baadhi ya wasamalia wema wakiwa wanaendelea kuokoa majeruhi na kuwaondoa waliofariki Picha zaidi>>
Maoni
Chapisha Maoni