HII NI ZAIDI YA SODOMA NA GOMORA, JAMANI!
MWANAFUNZI WA DARASA LA 6 AKUTWA AKIJIUZA
Mwanafunzi wa darasa la sita anayesoma shule ya msingi (jina linahifadhiwa kimaadili) amekutwa kwenye kambi ya machangudoa akidaiwa kujihusisha na biashara haramu ya kuuza mwili.Tukio hilo lilijiri wiki iliyopita maeneo ya Kahumba mjini Morogoro usiku wa manane ambapo chanzo kilipokea simu kutoka kwa watu walioumizwa na jambo hilo huku wakimwonea huruma kwani alikuwa akichukuliwa na mijibaba.
Maoni
Chapisha Maoni