HAYA MAZOEZI YA MESS NI HATARI...CHEKI ANAVYO JIANDAA KUPAMBANA NA WAJERUMANI LEO HII

Watanikoma: Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi (katikati) akifanya mazoezi ya kupiga tik tai wakati wa maandalizi ya timu yake kwa ajili ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Dunia Jumapili dhidi ya Ujerumani nchini Brazil.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA