Picha za Nusu Utupu za Wema na Aunt Ezekiel zatibua swaumu za Waislamu waliofunga
Picha ambazo hazijakaa poa katika kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani za mastaa, Aunt Ezekiel, Wema Sepetu na Martin Kadinda zimetibua swaumu za Waislamu waliofunga.
Picha hizo zinazoonesha ni za kipindi cha Wema cha In My Shoes kinachorushwa kupitia EATV, zinawaonesha sehemu ya juu ya warembo hao wakiwa watupu.
Picha hizo zinazoonesha ni za kipindi cha Wema cha In My Shoes kinachorushwa kupitia EATV, zinawaonesha sehemu ya juu ya warembo hao wakiwa watupu.
“Huyu aliyeachia hizi picha ametutibua sana sisi tuliofunga, alilenga kutuharibia swaumu zetu, haijakaa poa sana,” ilisomeka sehemu ya maoni ya picha hizo kwenye mitandao ya kijamii.
Maoni
Chapisha Maoni