VURUGU KUBWA BRAZIL BAADA YA KUFUNGWA KIPIGO CHA AIBU MAGARI NYUMBA ZACHOMWA SOMA ZAIDI HAPA!!

VURUGU ZIMEIBUKA KATIKA SEHEMU ZA MIJI MBALIMBALI YA BRAZIL BAADA YA TIMU YA TAIFA YA TIMU HIYO KUSHINDWA KUFUZU KUCHEZA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA NA KUKUMBANA NA KIPIGO CHA AIBU CHA MABAO 7-1 KUTOKA KWA UJEURMANI.
KIPIGO HICHO NDIYO KIKUBWA ZAIDI KATIKA HATUA YA NUSU FAINALI KATIKA KOMBE LA DUNIA, LAKINI NI KIKUBWA ZAIDI KWA BRAZIL KUWAHI KUKIPATA.
HATA HIVYO, ASKARI WALIKUWA MAKINI NA KUFANIKIWA KUZIMA VURUGU HIZO HARAKA LAKINI MASHABIKI KWA MAMILIONI WALIONEKANA KUTOAMINI KILICHOTOKEA.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Ndege ya C-130: Mabaki yake yapatikana yakiolea katika maji Chile