HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.
Wasanii wawili wenye majina makubwa zaidi duniani Nicki Minaj pamoja na Rihanna wana ugomvi ambao chanzo cha ugomvi huo.
Hit maker wa single ya ‘Pills N Potions‘ amesema amechukizwa na kitendo cha msanii mwenzake Rihana kuharibu urafiki wake kati ya yeye na na msanii Drake
Baada ya Drake kuachana na Drake,msani drake hasikiki kabisa,inasemekana Nick minaji anaweza kumwita Rihanna na wazungumze juu ya swala hili alilomfanyia rafiki yake Drake,Siku moja kwenye vyombo vya habari vya marekani Nick alikariria akisema ‘One day, I will run away with Drake and get married, but right now it’s just a fantasy.’
Drake pamoja na Rihhana waliacha mwezi mmoja uliopita baada ya kutokea ugomvi baina yao na kufanya kusambaratika kwa uhusiano wao
Maoni
Chapisha Maoni