IRENE UWOYA na JAGUAR wanaswa faragha Nchini KENYA


Latest news zinasema kuwa star wa filamu nchini Irene Uwoya amekutana faragha Nairobi, Kenya na star mwenzake wa muziki toka nchini humo Jaguar. 
 
Chanzo kimoja kilicho karibu na Uwoya kikizungumza nasi  kimesema kuwa wawili hao kuna deal wanafikiria kufanya pamoja lakini hana uhakika mpaka sasa ni deal gani “Uwoya na Jaguar wamekutana faragha kuna issue zao wana-talk ila sijui ni deal gani hizo, nitakupa updates” kilisema chanzo hicho.
IRENE UWOYA
IRENE UWOYA
Hata hivyo chanzo kingine kutoka Kenya kimesema kuwa kimewaona Uwoya na Jaguar katika hotel moja jijini Nairobi wakiwa katika mikao ya kimahaba a.k.a zero distance ” Hi, I have seen Irene Uwoya with Jaguar in a hotel in Nairobi they looked like an item, hawa celebs sio predicted” kilisema chanzo hicho
jaguar
Mwandishi alijaribu kumsaka Uwoya lakini namba yake haikupatikana, hata hivyo juzi Uwoya aliweka picha akiwa Julius Nyerere International Airport akisema anaenda Nairobi ingawa hakuweka wazi kama anaenda kikazi au lah .

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA