WEMA AZUA KIZAAZAA GEREZANI CHINA



KUONESHA ameguswa, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha aina yake alipomtembelea mwanamitindo Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani nchini China.


Tukio hilo lilitokea juzikati kwenye gereza lililopo Mji wa Macau ambapo Wema aliambatana na meneja wake, Martin Kadinda pamoja na shemeji yake, Petit Man.

 
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa na meneja wake, Martin Kadinda.
Chanzo kilicho karibu na Wema kimeeleza kuwa, Wema alipofika na kuona mazingira ya upweke ambayo Jack anaishi, aliwaza kwa muda na kuzungumza maneno kama mtu aliyechanganyikiwa hivyo kuwatia hofu Martin na Petit

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.