MASANJA AMZIDI UTAJIRI DIAMOND



Wadau, Hii kitu nimeisikia Clouds FM kwenye kipindi cha Gospel Trucks na Harris Kapiga! Naomba kufahamu zaidi huyu mpendwa uwekezaji wake unakua kiasi gani na anatumia mbinu zipi kukuza 
kipato chake ili vijana tujifunze kutoka kwa vijana wenzetu. Nilifahamu ana kipato kizuri lakini amekuaje kiasi cha kumzidi Diamond? Mungu amkbarikie zaidi Asante

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.