WENGER ATHIBITISHA MAN UNITED KUITAKA SAINI YA THOMAS VERMAELEN ILI KUIPIGA CHINI BARCELONA


On his way? Arsenal defender Thomas Vermaelen could be moving to Barcelona
Yupo njiani? Beki wa Arsenal, Thomas Vermaelen anaweza kujiunga na Barcelona.
WAWAKILISHI wa Barcelona wapo mjini Londo kufanya mazungumzao ya kujaribu kumsajili Thomas Vermaelen kutoka Asernal ingawa wanakabiliana na Manchester United wanaohitaji saini ya beki huyo.
Beki huyo mwenye miaka 28 amekuwa akihusishwa kuwindwa na klabu za Katalunya na United majira haya ya kiangazi, na Aserne Wenger ameshatibitisha kuwepo kwa dili hizo.Barcelona imemtuma mkurugenzi Raul Senlleh mjini London  ili kufanya mazungumzo na Asernal

Nowhere to be seen! Vermaelen wasn't training with Arsenal on Thursday because of a hamstring injury
Vermaelen hakufanya mazoezi na Asernal siku ya jumanne kutokana na kusumbuliwa na majeruhi ya nyama za paja.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.