Mugabe mwenyekiti mpya wa SADC


Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC, uliomalizika nchini Zimbabwe, umemchagua Rais Robert Mugabe, kuwa mwenyekiti mpya wa jumuiya hiyo akichukua nafasi ya Rais Peter Mutharika wa Malawi.
 Robert Mugabe
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe
Mwandishi wa DW Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa katika eneo la Kusini mwa Afrika, Profesa Mwesiga Baregu akiwa jijini Dar es Salaam, mtaalamu huyo aliwahi kuishi Zimbabwe kwa miaka kadhaa na kwanza amemuuliza anauzungumziaje uchaguzi wa Rais Mugabe. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza kitufe cha kusikilizia masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohammed Khelef

SAUTI NA VIDIO KUHUSU MADA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.