NI SHIDAAA: JIONEE PICHA CITY TRAIN LIKIKATIZA MITAA YA KARIAKOO LEO!


City Train likikatiza katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam.
City Train likikatiza katika 'round about' ya Shule ya Uhuru, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
 KAMERA za mtandao huu leo zimelinasa basi lefu maarufu kwa jina la City Train likikatiza mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam katika safari zake za kusafirisha abiria.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.