MAKAVU LIVE: PICHA TATA ALIYOTUPIA LINAH YAMPONZA..APEWA ZA USO NA MAFANS WAKE!


Msanii wa bongo flave lina sanga masaa mawili yaliyopita amepost picha instagram ikimuonyesha yupo beach lakini nguo aliyovaa ikiwa inaonyesha hadi chup*** yake aliyovaa miongoni mwa mashabiki wamefurahia na wengine wameboleka sana na kuamua kumchana live hapo chini ni baadhi ya comments za fan wake. 
Wilbatyamisa Unajizalilisha Dada angun siyo wa kuvaa hivyo. Umeboa

Marimmwakalinga11 Cjapenda best ur xo cuty but hilo vazi bad!!!
Annanold Hata kama ndio uzungu jamani ....Tako nje! Hapana bwana
Kipazalishuka sheeeeda!
Scolaenna Chupi ileeeeeeeeee!
Ziggydedon bongo kweli ulaya
Gracevenance Hata kama ni beach ndo uvae hivo kweli? Nyie vioo vya jamii mmezidi bana halafu mtu akikwambia ukweli mnamind na hao wafuasi wenu. Hebu jiheshimu na watu tutakuheshim bana, heshima haiuzwiiiii
Boazanna28 asa si ungetoa tu kinguo cha juu ili ulimwengu wajue kuwa umeumbika mxiuuuuuuu
Ashakhamisi41 Mh jamani hii dunia imeisha kwa hiyo kama anakaka zake na wao wanaona
adelterpaulsupertall Mi nakupenda lina ila ulivovaa leo
ishairl kama kutembea uchi ndo kupendeza poleni
mwanajmax mmmmh chup yote nje
mursalthebest upumbavu tu na ujinga.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.