NEWZZZ....: AJALI NYINGINE MBAYA YA NDEGE YAUA WATU ABIRIA WOTE!


 
Ndege  ya kampuni ya Taban Air imeripotiwa kuanguka katika makazi ya watu baada kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Magharibi mwa mji wa Tehran nchini Iran. 

Ndege hiyo inayojulikana kama Iran 141 ilitengezwa nchini Iran kwa teknologia ya Ukraine imepata ajari na kuua watu wote waliokuwepo kwenye hiyo ndege.Kituo cha television cha taifa kimetangaza kuwa ndege hiyo ilikuwa na abiria 40 na uchunguzi wa ajali hiyo unaendelea. 
Iran imekabiliwa na ajali kama hizo katika siku za hivi karibuni kutokana na ndege zake zilizozeeka mbali na marekebisho mabaya inazozifanyia

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.