CLOUD AWACHANA WASANII WANAOLIA KINAFIKI MISIBANI
Stori: Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Issa Musa ‘Cloud’ hivi
karibuni aliwachana wasanii wa kike na kuwataka kuachana na tabia ya
kulia na kuzimia kinafiki kwenye misiba kwani wanaonesha picha mbaya
katika jamii.Akizungumza siku moja kabla ya mazishi ya aliyekuwa msanii wa filamu, Sheila Haule ‘Recho’, Cloud alisema baadhi ya wasanii wa kike wamekuwa na tabia ya kulia kinafiki…
Stori: Gladness MallyaSTAA wa filamu Bongo, Issa Musa ‘Cloud’ hivi karibuni aliwachana wasanii wa kike na kuwataka kuachana na tabia ya kulia na kuzimia kinafiki kwenye misiba kwani wanaonesha picha mbaya katika jamii.
Akizungumza siku moja kabla ya mazishi ya aliyekuwa msanii wa filamu, Sheila Haule ‘Recho’, Cloud alisema baadhi ya wasanii wa kike wamekuwa na tabia ya kulia kinafiki kwenye misiba.
“Sitaki
kwenye mazishi ya Recho kumuona msanii yoyote akijiangusha baada ya
kuona kamera za waandishi eti wamezimia jamani tuwe wastaarabu na kama
ukilia uwe unaumia kweli lakini siyo kinafiki kwani wasanii wa kike
wamekuwa na tabia ya kujiangusha huku wakiwaomba marafiki zao
wawaangalizie simu zao,” alisema Cloud.
Maoni
Chapisha Maoni