AJITOA MHANGA KWA BOKO HARAMU AWAPE ILI AOKOE WASICHANA 200 WALIOTEKWA NA KUNDI HILO

HATIMAYE MWANAMUZIKI WA KIKE AJITOA MUHANGA KWA BOKO HARAM ILI AWAOKOE WASICHANA 200 WAACHILIWE HURU, YUKO TAYARI KUHUDUMIA VIDUME 200 KWA USIKU MMOJA! ALISEMA


Mwimbaji wa kike wa Nigeria mwenye umri wa miaka 23 anaefahamika kwa jina la Adokiye ameeleza anachofikiria kuhusu wasichana zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na kundi la Boko Haram. 

Mwimbaji huyo ambaye anafahamika sana kwa comments zinazotengeneza mijadala hudai kuwa yeye ni
bikira.


Mwisoni mwa wiki hii ameiambia Showtime kuwa anajitoa yeye kwa kundi la Boko Haram kama inawezekana wao kuwaachia wasichana wanaoshikiliwa na kundi hilo. 

“Sasa hivi ni saa tato usiku, je unajua ninachofikiria? Wale wasichana wadogo, wapi walipo na nini kinawatokea muda huu. Sio sawa. Ni wadogo sana. 

"Nawishi ningeweza kujitoa mimi kubadilishana nao. Wana umri kati ya miaka 12 hadi 15. Mimi ni mkubwa na nimeshazoea maisha zaidi yao. 

"Hata kama wanaume 10 hadi kumi na mbili watanichukua kwa usiku mmoja, sijali. Nachojali wawaachie hao wasichana warudi kwa wazazi wao.”

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.