Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2014

MAKAVU LIVE: PICHA TATA ALIYOTUPIA LINAH YAMPONZA..APEWA ZA USO NA MAFANS WAKE!

Picha
Msanii wa bongo flave lina sanga masaa mawili yaliyopita amepost picha instagram ikimuonyesha yupo beach lakini nguo aliyovaa ikiwa inaonyesha hadi chup*** yake al i yovaa miongoni mwa mashabiki wamefurahia na wengine wameboleka sana na kuamua kumchana live hapo chini ni baadhi ya comments za fan wake.   Wilbatyamisa Unajizalilisha Dada angun siyo wa kuvaa hivyo. Umeboa Marimmwakalinga11 Cjapenda best ur xo cuty but hilo vazi bad!!! Annanold Hata kama ndio uzungu jamani ....Tako nje! Hapana bwana Kipazalishuka sheeeeda! Scolaenna Chupi ileeeeeeeeee! Ziggydedon bongo kweli ulaya Gracevenance Hata kama ni beach ndo uvae hivo kweli? Nyie vioo vya jamii mmezidi bana halafu mtu ak i kwambia ukweli mnamind na hao wafuasi wenu. Hebu jiheshimu na watu tutakuheshim bana, heshima haiuzwiiiii Boazanna28 asa si ungetoa tu kinguo cha juu ili ulimwengu wajue kuwa umeumbika mxiuuuuuuu Ashakhamisi41 Mh jamani hii dunia imeisha kwa hiyo kama anakaka zake na wao ...

BREAKING NEWS! MASKINI DADA HUYU WA SAINT AUGUSTINE MWANZA APATA AJARI NA KUFA PAPO HAPO!

Picha
Baada ya Dada huyu kutoka chuoni akiwa anaelekea kwa Mchepuko wake, gari ilipata ajari mbaya sana kama unavyoiona na kufariki hapo hapo siku ya jana Ijumaa ya August 29, 2014.