WOLPER HATIMAYE AKUBALI KUPOSWA
Mwigizaji
wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper akipozi na Manaiki. Akizungumza na
mwanahabari wetu, Wolper alisema katika mila za Kiafrika, posa
haikataliwi, inatolewa na kisha inajadiliwa kwa hiyo kama Manaiki
kajipanga, apeleke posa ikajadiliwe na wazee wake.“Nimesikia habari za Manaiki kutaka kuniposa nikacheka sana kwa sababu yeye kama yupo tayari apeleke posa itapokelewa kwani siku zote vigezo na masharti huzingatiwa, afuate utaratibu tu,” alisema Wolper.
ASANTE KWA KUPATA HUDUMA ZETU,TUNAKUOMBA BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK
Maoni
Chapisha Maoni