Huyu ndie Star kutoka South Afrika anayetoka na wema Sepetu kwa sasa....Wema Afunguka

Nimekuwekea hapa U Heard ya leo January 20, story ya leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini,  Ally Daxx.
Mwanamitindo Ally Dax.
Mwanamitindo Ally Dax.
Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote, Wemaamekataa kuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA