SIRI IMEFICHUKA: ALIYEZAA NA RIYAMA WA BONGO MOVIE ANASWA LIVE! SHUKA NAYO HAPA!


Staa wa sinema za Kibongo, Riyama Ally akiwa na mpenzi wake anayefahamika kwa jina moja la Haggy .

Hakuna siri ya wawili duniani! Baada ya staa wa sinema za Kibongo, Riyama Ally kumfichaficha mwanaume aliyezaa naye kwa muda mrefu, hatimaye jamaa huyo amenaswa.Tukio hilo lililopigwa chabo na ‘mtu wetu’ lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Chabruma uliopo Mabibo, Dar ambako kulikuwa na bethidei ya mtoto wa Riyama aitwaye Fatuma aliyetimiza miaka miwili ambapo alifanya sherehe kama harusi huku akiunganisha na bethidei yake iliyokuwa siku moja kabla ambapo mastaa kadhaa walihudhuria.

Bw. Haggy (Baba Fatuma) akikata keki mwanaye.
 Muda mfupi baada ya Riyama na mwanaye kuingia ukumbini, waliofuatia kuingia huku wakicheza muziki kwa staili ya Kisambaa walikuwa ni wakwe, yaani baba wa mtoto na mama yake na ndugu wengine waliowasindikiza

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.