Sipendi Wanaume Wanene au Wenye vitambi, Hawana Lolote Kitandani: Irene Uwoya

Uwoya
Star wa filamu Swahiliwood, Irene Uwoya inadaiwa hana mzuka kabisa wa kutoka na wanaume wanene au wenye vitambi kwa madai si lolote kitandani wanaishia kuhema hema tu. Inadaiwa kuwa Uwoya anapenda wanaume wasio wanene bali hupenda wenye miili ya kimazoezi na wasio na vitambi kwa madai wako vizuri sana kunako sita kwa sita na mwenyewe huvtiwa nao sana. Chanzo
kimoja kutoka kambi ya Uwoya kikizungumza na Swahiliworldplanet jana kilisema "Wanaume wengi wakiwemo wenye pesa zao wamekuwa wakimsumbua Uwoya , yeye hana time nao sio type yake, yeye anapenda wanaume wenye vifua vya mazoezi na wasio na vitambi ndiyo rahisi kunasa penzi lake, yeye anaona wenye vitambi na wanene hawawezi gwaride la sita kwa sita" kilisema chanzo hicho huku kikiangua kicheko cha aibu.
Hata hivyo Uwoya hakupatikana kuzungumzia hilo lakini takribani mwezi sasa alipohojiwa na jarida moja linalotoka kwa mwezi mara mbili alisema kuwa hapendi wanaume wanene linapokuja suala la mahausiano ya kimapenzi

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.