BREAKING NEWS!AJALIII..PICHA INATISHAAA....AJALI MBAYAAA YA BASI YAUA TABORA ..YANI INATISHAAAA...BASI LA AIR BUS

http://photos-a.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/10632483_935171353162944_678172647_n.jpg
 

Ajali nyingine mbaya; Basi la abiria linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Tabora limepata ajali mbaya mchana wa leo katika eneo la Kiegeya Gairo na kupelekea zaidi ya watu 08 kudaiwa kupoteza uhai/ Maisha huku wengine wakiwa wamejeruhiwa vibaya sana.
Ni majonzi makubwa yametawala katika eneo hilo hivi sasa, huku juhudi za kuokoa miili na majeruhi zikiendelea kama inavyoonekana pichani.
Ni siku tatu tu tokea Bus la J4 kugongana na Bus la Mwanza Coach maeneo ya Sabasaba huko Musoma Mkoani Mara. Tujihoji tatizo ni Magari mabovu, Mawenge ya Madreva hawana taaluma stahiki, ama tatizo ni nini?
 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.