Wako Wapi Salum Mwalim, John Mnyika na Tundu Lissu?

Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.

Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.

Je Kasi ya Magufuli Imewanjamazisha au ndio Ukiona Kobe Kainama Ujue Anatunga Sheria....?

Nafasi za Kazi Tembelea www.ajirayako.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Ndege ya C-130: Mabaki yake yapatikana yakiolea katika maji Chile