Video ya Sekunde 80 ikionyesha Tukio la Papa Wemba Kuanguka Jukwaani Akitumbuiza na Kufariki
Lilikua ni tamasha ambalo linaonekana live kwenye TV ambapo mkongwe huyu
wa muziki kutoka Congo DRC alikua akitumbuiza na band yake huko Abidjan
Ivory Coast lakini ghafla akaanguka na kufariki muda mfupi baadae.
Tazama Video:
https://youtu.be/ENQPk6RKNSQ
Tazama Video:
Maoni
Chapisha Maoni