Gari Aina ya Toyota Hiace Lililozama Majini Kivuko cha Kigamboni na Kuua Watu Wawili Lapatikana
Lile Gari Aina ya Toyota Hiace lililozama kwenye bahari kivukoni
Kigamboni na kuuwa watu wawili limepatikana na kutolewa majini na wana
maji baada ya Jumatano ya April 20 2016 kuzama ikiwa na watu wa wawili
ambao wote walipatikana wakiwa wameshafariki...
Picha likiwa linatolewa majini hii hapa:
Hatimaye kikosi cha ukoaji cha baharini kimefanikiwa kuitoa gari aina ya
Hiace ambayo jana ilizama katika bahari ya hindi eneo la Kivukoni na
kuua watu wawili.
Maoni
Chapisha Maoni