VIDEO RAIS MAGUFULI ALIVYOREJEA NYUMBANI JANA AKITOKEA RWANDA
President John Pombe Magufuli wa Tanzania alikwenda kwenye nchi ya Rwanda kwa ziara ya siku mbili kuanzia April 6 2016 ambapo alimaliza ziara yake na kurudi nyumbani Tanzania April 7 2016, kwenye hii video hapa chini inamuonyesha alivyotua kwenye uwanja wa ndege Dar es salaam kwa ndege ya Rais ambayo ilimfata Rwanda alikokwenda kwa gari akitokea Chato Geita.
Maoni
Chapisha Maoni