Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BOT Amatus Liyumba afariki dunia
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus
Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple
Seven, Mikocheni jijini Dar.
Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam. Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais. Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi? Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha. By iparamasa
Haki miliki ya picha Image caption Vikosi vya muungano vya Syria (SDF) vinavyoongozwa na wapiganaji wa Kikurdi vinasema majasusi waliiba nguo za ndani za Abu Bakr al-Baghdadi ambayo ilitumiwa kufanya uchunguzi wa chembe chembe za vinasaba, DNA kabla auawe. Kamanda wa mwandamizi wa SDF Polat Can anadai kuwa wapelelezi wao walichangia kwa kiasi kikubwa juhudi za kupata maficho ya kiongozi wa kundi la Islamic State (IS) kabla ya oparesheni ya vikosi maalum vya Marekani nchini Syria. Serikali ya Tanzania yalaumiwa kuhusu wakimbizi wa Burundi Asili ya binaadamu wa leo 'yagunduliwa Botswana' Rais mstaafu Kenya atibiwa hospitalini, sio mara ya kwanza Baghdadi alijilipua na kujiua mwenyewe wakati wa oparesheni ya kumsaka. Marekani imepuuza jukumu la vikosi vya Kikurdi katika oparesheni hiyo. Akizungumzia oparesheni hiyo Oktoba 27, Rais wa Marekani Donald Trump alisema vikosi hivyo "vilisaidia" kutoa habari lakini akaongeza hawakufanya ''jukumu lolote ...
Maoni
Chapisha Maoni