Kikwete Akiri Kumkabidhi Rais John Pombe Magufuli Uenyekiti CCM


Katika mahojiano aliyoyafanya na BBC , Rais mstaafu Kikwete amekiri kuwa hivi karibuni atakabidhi Uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kwa Rais Maguli na yeye kubaki kama mzee mstaafu lakini maarufu.

Hata hivyo Kiwete amekiri pia kuwa ataendelea kushughulika na maswala ya kimataifa kama sehemu ya kazi yake baada ya kustaafu.

Kile kitendawili cha Chama sasa kimeteguka.


DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG >>> HAPA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA