Hivi ni Kweli Kuwa Wenye Herufi "M" Kwenye Kiganja Wana Bahati Sana?
Wengi Tumekuwa tukisikia kuwa watu wenye herufi M kiganjani mkononi ni watu wa bahati...Hapa nimekuwekea ukweli....
HERUFI ''M'' INA ASHIRIA WEWE MTU WA BAHATI KUBWA UNAWEZA KUWA NA PESA NYINGI AU KUWA KIONGOZI MKUU KATIKA MAMBO YA SIASA AU KUWA WEWE MTU MWENYE AFYA NZURI, AU KUWA MTU MAARUFU SANA. HERUFI ''M'' KWENYE KIGANJA CHAKO CHA MKONO WA KULIA INA ASHIRIA MAMBO MAZURI YA MAISHA YAKO YA BAADAE UTAFANIKIWA JITAHIDI.
Maoni
Chapisha Maoni