Kifo cha Papa Wemba Chazua Utata...Wadai Aliwekewa Sumu Kwenye Mic...Tazama Hii Video Ikionyesha Tukio Nzima la Kubadilishiwa Mic
DOWNLOAD UDAKU SPECIAL APP HAPA
Mtandao wa Kinshasa-makomba.com ametoa shutuma kuwa mwimbaji Papa Wemba
aliyefariki wiki iliyopita kwa kuangaka jukwani ghafla hakufariki kwa
kifo cha kawaida bali amewekewa sumu kwenye mic aliyekuwa
akiimbia..Mtandao huo umekwenda mbali zaidi na kuweka video ikionyesha
tukio zima jinsi alivyobadilishiwa mic na kuwekewa yenye sumu....Angalia Video Hapa Chini:
https://youtu.be/JrrV8iWo5L0
Maoni
Chapisha Maoni