HII NDO KAULI YA WAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE BAADA YA ANNA KILANGO KUTENGULIWA
SUMAYE
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye alisema Kilango hakuwa na hatia kiasi hicho kwa sababu bado hajaujua vizuri mkoa huo.
“Ukweli haiwezekani RC asimamie jambo hilo muda mfupi na hata akipewa miezi sita akakague watu hao ‘physically’ bado haitoshi.
“Kama aliletewa taarifa kuwa kuna watumishi hewa na yeye akasema hakuna…hapo kuna tatizo. Lakini ndio hivyo kila mtu na utawala wake, kumwajibisha mtu ambaye hata huo mkoa na ofisi hajaijua vizuri kwa kweli inasikitisha. Hii haijapata kutokea popote na si kitu cha kawaida,”alisema Sumaye.

Maoni
Chapisha Maoni