EXCLUSIVEEE.....MASANJA MKANDAMIZAJI....AAMUA KUUZA CHAKULA MWENYEWE MTAANI KWA BEI YA TSH 4000 KWA SAHANI


Tukio hilo lilitokea jana kwenye jiji hili la Makonda, zaidi ya wateja 150 walijitokeza na kuunga mkono Masanja kwa chakula hicho naye aliwahudumia wote. Masanja ana washukuru sana wateja wote waliojitokeza kununua chakula hicho.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA