HUYU NDO MKUU WA WILAYA ANAYE ONGOZA KUPIGA PICHA ZA VITUKO...ZITAZAME HAPA
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesera, amesema zamani kabla
maisha yake kuwa mazuri alishawahi kubeba mizigo (kuli) Bandarini.
Richard amewashangaa watu wanaodhania yeye anaigiza baadhi ya vitu anavyofanya, wakati ni vitu ambavyo amevipitia katika maisha yake na ni kawaida.
“Wanasema anapenda kubeba watoto, ndio kwa sababu napenda watoto, wanasema anapenda kubebe mizigo, jamani mimi hapo kabla mambo hayajawa mazuri nilikuwa kuli wa mizigo Bandarini” alisema Kasesera

Maoni
Chapisha Maoni