WEMA AZUA KIZAAZAA GEREZANI CHINA
KUONESHA
ameguswa, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha
aina yake alipomtembelea mwanamitindo Jacqueline Fitizpatrick Cliff
‘Jack Patrick’ gerezani nchini China.
Tukio
hilo lilitokea juzikati kwenye gereza lililopo Mji wa Macau ambapo Wema
aliambatana na meneja wake, Martin Kadinda pamoja na shemeji yake,
Petit Man.
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa na meneja wake, Martin Kadinda.
Chanzo
kilicho karibu na Wema kimeeleza kuwa, Wema alipofika na kuona
mazingira ya upweke ambayo Jack anaishi, aliwaza kwa muda na kuzungumza
maneno kama mtu aliyechanganyikiwa hivyo kuwatia hofu Martin na Petit
Maoni
Chapisha Maoni