JOKATE KUOLEWA NA MSANII WA MAREKANI
Jokate
New buzz is that Jokate Mwegelo ambaye ni star mkubwa Tanzania amepata
mpenzi mpya baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu sasa baada ya kuacahana
na Diamond.
Gossip
mpya zinasema kuwa mpenzi mpya wa Jokate ni msanii wa Marekani wa
muziki na filamu ingawa bado sio maarufu sana kwani bado anapigana ili
kuweka jina lake fresh katika entertainment industry ya Marekani na
dunia kwa ujumla.
Maoni
Chapisha Maoni