MISS JELA"" KWA WAFUNGWA WANAWAKE HUKO BRAZILI..
HAYA
ni mashindano ya urembo yanayofanyika kila mwaka katika moja ya gereza
la wafungwa huko nchini Brazil, waliyoanzisha mashindano haya wanasema
wanawapa haki wafungwa nao wajisikie kama binadamu na si kama wanyama
kwani muda mwingi wanakuwa wanafanya kazi kwahiyo inakuwa sio mbaya
kuwapa muda kidogo wajifurahishe katika mioyo yao na sio muda wote
waonekane watumwa wa kazi.
Maoni
Chapisha Maoni